August 11, 2021

6 COMMENTS:

  1. Timu imeshaanza kupangwa magazetini

    ReplyDelete
  2. Baada ya ligi lawama kwa marefa na Karia zitaanza kama kawaida.Msimu ujao sijui nani ataahidi ubingwa.Msimu uliopita Hersi alisema aulizwe yeye.

    ReplyDelete
    Replies
    1. SAFARI HII NITAMFUATA TWEETER NI MUULIZE, AMETUMWA KUFANYA BIASHARA YA JEZI NA GSM AU AMEKUJA KUENDESHA SOKA?

      Delete
  3. Msimu uliopita walikuwa ni mifumo minne yote ikabuma pamoja na kuleta kocha toka Barcelona, leo wamekuja na mitatu ngoja tuone

    ReplyDelete
  4. Kwani kicha Nabi ameongea chochote kuhusu mifumo atakayo itumia msimu ujao kwenye kikosi chake halo shida ni magazeti na wadau wanao tengeneza maono yao ila sio kwamba kocha kasema atatumia kama wanavyo dhania wao over

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic