MIFUMO MITATU ITAKAYOIBEBA YANGA,GOMES ASHUSHA MBADALA WA CHAMA,NI CHAMPIONI JUMATANO MUONEKANO wa ukurasa wa mbele gazeti la Championi Jumatano
Timu imeshaanza kupangwa magazetini
ReplyDeleteKazi ipo....mmh!
ReplyDeleteBaada ya ligi lawama kwa marefa na Karia zitaanza kama kawaida.Msimu ujao sijui nani ataahidi ubingwa.Msimu uliopita Hersi alisema aulizwe yeye.
ReplyDeleteSAFARI HII NITAMFUATA TWEETER NI MUULIZE, AMETUMWA KUFANYA BIASHARA YA JEZI NA GSM AU AMEKUJA KUENDESHA SOKA?
DeleteMsimu uliopita walikuwa ni mifumo minne yote ikabuma pamoja na kuleta kocha toka Barcelona, leo wamekuja na mitatu ngoja tuone
ReplyDeleteKwani kicha Nabi ameongea chochote kuhusu mifumo atakayo itumia msimu ujao kwenye kikosi chake halo shida ni magazeti na wadau wanao tengeneza maono yao ila sio kwamba kocha kasema atatumia kama wanavyo dhania wao over
ReplyDelete