WAKATI wakimtambulisha Mussa Mbissa kuwa kipa wao ndani ya kikosi cha Coastal Union ya Tanga itakayokuwa chini ya Kocha Mkuu, Melis Medo wote wakiwa wamesaini madili ya miaka miwili nyota 12 wamepigwa chini mazima.
Taarifa rasmi iliyotolewa na Coastal Union imewataja nyota hao kuwa ni:-
Adil Nasor
Ayoub Masoud
Mudhathir Abdalah
Hassan Kibailo
Salum Ally Salum
Peter Mwangosi
Seif Bihaki
Hussein Abel
Muhidin Mbuki
Nelson Haule
Christopher Edward
Issa Yusuph
0 COMMENTS:
Post a Comment