VIDEO: MZARAMO AMLIPUA HAJI MANARA MZARAMO, shabiki wa Simba amlipua Haji Manara ambaye alikuwa ni Ofisa Habari wa Simba ila kwa sasa ni mali ya Yanga baada ya kutambulishwa rasmi Agosti 24.
Yupo vizuri shabiki wa mpira sio mchezo.
ReplyDelete