September 10, 2021


 IMEELEZWA kuwa Shirikisho la Soka Afrika limetoa orodha ya makocha ambao hawajakidhi vigezo vya kukaa kwenye benchi la ufundi katika mechi za kimataifa.

Sababu inayotajwa ni kukosa vigezo vya Caf au UEFA Pro Licence.

Orodha hiyo imewataja Dideir Gomes, Kocha Mkuu wa Simba ambayo kwa sasa ipo Arusha.

Erradi Mohamed Adil wa APR.

Bosa Wasswa wa Express FC.

Diego Garzitto wa El Merreikh.

Comlan Mathias wa ESAEL FC.

Pascal Lafleurial wa DFCB.

Roque Sapir wa SD Sagrada Experanca.

Ame Khamis wa KMKM.

10 COMMENTS:

  1. Dhuu...changa la macho makolo

    ReplyDelete
  2. Endelea kuwahadaa utopolo ili wapate bichwa,mwaka huu mtaisoma namba kama ni upofu basi safari hii mtapewa fimbo iwasaidie maana tayari mmeshaanza kutengeneza visingizio kupitia akina mayele na djuma shaban na aucho.mungu awe pamoja nanyi maana hata maandiko yanasema jifunze kuishi na adui anaweza akawa rafiki bora zaidi.

    ReplyDelete
    Replies
    1. usipaniki koloooo fc, mmeshajazwa tayari!!mnaajiri makocha mbumbumbu

      Delete
    2. Mh, wanazi wa Simba hata jambo la ukweli na Unakuja mnalikataa!

      Delete
  3. Mwandishi anasema imeelezwa, ila hasemi ni nani ameeleza.... WENDAWAZIMU wanashangilia

    ReplyDelete
    Replies
    1. Usiwe mvivu wa kufanya utafiti wa kutafuta ukweli eti kwa sababu tu ya mahaba ya timu wakati hata kocha wa kurithi mikoba ameshajulikana!

      Delete
  4. Taarifa yanga ingehusishwa mngeshangilia sana

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic