September 10, 2021

 


JUMAPILI, Yanga inayonolewa na Kocha Mkuu, Nasreddine Nabi ina kibarua cha kusaka ushindi mbele ya Rivers United kwenye mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika ambao ni wa hatua ya awali.

Kikosi ambacho kinapewa nafasi ya kuanza kwenye kikosi cha kwanza Septemba 12 kipo namna hii:-

Diarra Djigui 

Kibwana Shomari 

Bakari Mwamnyeto 

Dickson Job 

Adeyum Saleh 

Moloko

Tonombe Mukoko 

Zawad Mauya 

Fei Toto 

Heritier Makambo



10 COMMENTS:

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic