September 4, 2021

 "TULIHEMEWA na maombi ya mashabiki ambao walikuwa wanataka jezi mpya," Ezekiel Kamwaga,  Ofisa Habari wa Simba amesema kuwa ni sababu ya wao kuiruhusu jezi hiyo kuwa dukani mapema tangu jana Septemba 3 kabla ya uzinduzi wa jezi hiyo unaotarajiwa kufanyika leo Septemba 4.


Huu hapa ni muonekano wa jezi hiyo pia wamezindua na jezi ya akina dada.




6 COMMENTS:

  1. Hamisa na huu Uzi wa Simba kapendeza Hadi anakera. Naona upande wa pili wanahangaika kutafuta mrembo na jezy yao wa kumpambanisha na Mubeto lakini wametepeta. Simba mara hii wameacha makandokando kwenye utenezaji wa Jezy, Hongera Fredy Vunja bei ila asiishie simba awaze kuwa wakimataifa zaidi hakuna lisilowezekana, Diamond alianzia mbagala.🇹🇿💪

    ReplyDelete
  2. Wanasema Kipenda roho hula nyama mbichi...

    ReplyDelete
  3. Hongereni kwa blouse

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic