MANCHESTER United inaamini kwamba itasepa na saini ya mshambuliaji wa Borussia Dortmund bila wasi msimu ujao kwa mbinu kali.
United kwa muda mrefu imekuwa ikiripotiwa kwamba inahitaji saini ya mshambuliaji wa Borussia Dortmund, Erling Haaland ila mambo yamekuwa magumu.
Kwa sasa wanaamini kuwa ujio wa Cristiano Ronaldo ndani ya timu hiyo akitokeq Juventus utawapa nguvu ya kupata saini ya mshambuliaji huyo.
Ikumbukwe kwamba Ronaldo anarejea Manchester United baada ya kupita miaka 12 kwa kuwa alisepa hapo mwaka 2009.
Mbinu ipi hiyo mbona haihatajwa sasa?
ReplyDeleteSijaona mbinu hapo?
ReplyDelete