USAJILI kwa ajili ya maandalizi ya msimu wa 2021/22 tayari umeshafungwa huku kila timu ikifanya kazi yake kwa kuzingatia ripoti ya benchi la ufundi, dau la beki Djuma Shaban linatajwa kuwa ni namba moja kwa wachezaji ambao wamesajiliwa kwa mkwanja mrefu wengine ni pamoja na Heritier Makambo, Fiston Mayele huku Simba miongoni mwa maingizo jipya ni pamoja na Peter Banda.
Wanafunika kwenye hasara tu
ReplyDeleteBasi tuassume awajafunika
DeleteKikosi kilichosajiliwa msimu uliopita kilitajwa kilikuwa cha billion mbili. Kiliiwezesha Yanga kupata makombe mangapi zaidi ya lile la Bonanza ya mashindano ya Mapinduzi ya Zanzibar. Mashabiki wa Yanga tunaendelea kunywa mtori nyama ziko chini
ReplyDeleteMatokeo ndio muhimu hizi hadithi na ngonjera tumezichoka wanayanga.Kila mwaka tunaambiwa hivyo halafu wenzetu wanachukua ubingwa na FA.
ReplyDeleteHapa issue Ni pale habari yoyote isitolewe ikiwa Simba kazidiwa Tawimu ,utatukanwa na mbumbumbu mpaka ushangae ndiyo maana mnaitwa Makorokoro Fc,hata Takwimu za Jana Man U wamekuwa big spender kwa kufunga msimu wa Usajili Tena kwa Europe,he wao mabingwa na je Kama pesa wanazo wasispend? Kisa Ubingwa Tena wa kupangwa na TFF utafikiri Ni Time yaUchaguzi ya Tanzania (siasa) mnapiga kura huku mshindi anajulikana.
ReplyDeleteMnyanma hatukanagi, ongeza umakini utagundua wanaotukanaga ni wakina nani
DeleteTime/Tume
ReplyDelete