September 3, 2021

 


KLABU ya Simba SC, Ezekiel Kimwaga leo Septemba 3, 2021amesema kuwa kuelekea katika Simba Day inayotarajiwa kufanyika Septemba 19 wanakuja na slogan mpya itakayotumika pamoja na viingilio.

Kamwaga  ameongea na Wanahabari katika mkutano uliofanyika Hoteli ya Hyatt Regency jijini Dar es Salaam.

Kimwaga, ametangaza bei za viingilio kwenye Simba Day itakayofanyika mwezi huu Septemba 19, katika Uwanja wa Mkapa jijini Dar.

 

Kwa upande wa Platinum Tsh. 200,000, VIP Tsh 30,000, VIP B&C Tsh 20,000 na mzunguko ni Tsh 5,000.


“Slogan ya Simba Day 2021 ni One Team, One Dream tukimaliza na Asubuhi Tu, Twendeni Wenye Nchi.


"Maandalizi yapo vizuri na kwa sasa niwaombe mashabiki nguvu na macho yote tuelekeze kwenye tamasha letu ambalo litakuwa ni nzuri," .

6 COMMENTS:

  1. Sihaelewa hapo mwisho wa slogan, wanasema tukimaliza na asubuhi tuu twendeni wenye nchi

    ReplyDelete
  2. Neno Nchi linauma,wenye Nchi Ni Wananchi mbumbumbu mpo???

    ReplyDelete
    Replies
    1. Nyie wananchi...wenye nchi tumetulia tunawaangalia mnavyohangaika kujipa vyeo

      Delete
  3. Hayo ndiyo ya Umoja wa Mataifa na Big National ,sisi tuna Umoja wao wanaibuka wanajiita eti Afghanistan ,Simba .Ukijitoa ufahamu utajiita hata Chizi ,ninyi mlishachagua majina ya ma beast Mjiite hivyo utu hamuutaki,tafuta Wanyama kwa umoja wao wanajiitaje ,hamna jiiteni Wanawake.Neno Wananchi la kiume rejea Biblia Watu 5000 bila wanawake na Watoto

    ReplyDelete
  4. Wewe nawe hina lolote, mlijiita wananchi kipindi kile mmefulia mnachangisha bakuli ili watu wawaonee huruma unadhani hatujui?

    ReplyDelete
    Replies
    1. Wakumbishe maana wanajitoa akili

      Delete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic