KLABU ya Simba imeweka wazi kuwa kwa sasa jezi mpya kwa msimu wa 2021/22 zinapatikana kwenye maduka yote ya Vunja Bei.
Ezekiel Kwamwaga, Kaimu Ofisa Habari wa Simba amesema kuwa kutokana na maombi ya mashabiki wengi wa Simba kuzihitaji jezi hizo wakaona hakuna tatizo wakaamua kuziruhusu zipatikane madukani.
"Awali ilikuwa tumepanga kuzindua rasmi Septemba 4 kutokana na maombi ya mashabiki wengi wa Simba tumeamua kuziruhusu kupatikana katika maduka ya Vunja Bei.
"Ni jezi nzuri na bora na kila shabiki ajivunie na apate jezi yake orijino nina amini kwamba hakuna ambaye ataweza kupenda kuona anavaa kitu feki hilo halipo hivyo kila mmoja ajipatie jezi mpya.
"Kuhusu uzinduzi siku ya Jumamosi bado upo palepale na tutatoa utaratibu namna mambo yatakavyokuwa ni suala la kusubiri na kuona," .
Hapa tofauti Ni rangi maudhui ni Yale yale lazima Baba aigwe anzia Kola,mchanganyo wa rangi nk hivi hua Ni viashiria pale mwanaume anapoletewa mtoto bila kujua Ni wake ,watu huangalia masikio,pua miguu nk , ndiyo maana tukasubiri kwanza Baba atoe vyake maana angetukana ,kweli Mwananchi Vidume ndiyo maana Mama J Pamoja na Umkia wake alikolea,Tatizo Ni Watoto kutojitambua hamna jipya hapo Ni Copy and paste then Edit na Print.
ReplyDeleteNikiangalia kwa makini muonekano wa jezi za kijivu ni kama jezi za Yanga za mazoezi za msimu uliopita
ReplyDeleteWw vp uzihuo unaweza kufananisha na zile zamisukule ht haya huna
ReplyDeleteUbongo wako mzito kupambanua ndo maana huwezi kufananisha
DeleteHanna jez aponiyaleyale tu tofaut nirangitu
ReplyDeleteHizi ni jezi au sanda?
ReplyDeleteSh.ngap jaman hiz jezi
ReplyDeleteNunua moja kwa elfu 10,unapata 5 buree
DeleteHahaha...dhuu! Yaani giza hatari
ReplyDeleteMsema ukweli ni mpenzi wa mungu,na wapendao ukweli
ReplyDeleteSadaqta bro
ReplyDeleteJex nzuri lakini fisi haigi digidigi mpe heshima yake mbele ya fisi
ReplyDelete