September 4, 2021


BAADA ya jana Septemba 3 Uongozi wa Simba kutangaza rasmi kwamba jezi ya timu hiyo ya Simba inapatikana Tanzania kwenye maduka yote ya Vunja bei tayari kwa sasa mashabiki wameendelea kujitokeza kwa wingi katika maduka ya Vunja Bei ili kujipatia uzi huo mpya kwa msimu wa 2021/22.

 Pia kwa sasa ni maandalizi ya Simba Day inayotarajiwa kufanyika Uwanja wa Mkapa, Septemba 19 na Wiki ya Simba inatarajiwa kuanza Septemba 13 mpaka siku ya kilele ca Simba Day.

 

1 COMMENTS:

  1. Aise mimi naiona msururu wa watu kwenye foleni kutoka hapa mlima wa kilimanjaro

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic