October 5, 2021

 


TIMU ya taifa ya Tanzania,  Taifa Stars jana Oktoba 4 ilianza mazoezi, Uwanja wa Mkapa kwa ajili ya maandalizi ya ya kujiaandaa na mchezo dhidi ya Benin Oktba 7.


Hawa hapa ni wachezaji walioanza mazoezi chini ya Kim Poulsen ambaye ni Kocha Mkuu.

Makipa

Ramadhan Kabwili 

Metacha Mnata

Aishi Manula

Wilbol Maseke


Mabeki


Kibwana Shomari 

Edward Manyama 

Kenedy Juma

Mohamed Hussein

Dickson Job 

Nickson Kibabage


Kiungo

Sopu

Mzamiru Yassin

Feisal Salum

Idd Seleman 


Washambuliaji 

John Bocco

Kibu Denis

Meshack Abraham

Relliants Lusajo

11 COMMENTS:

  1. Kenedy Juma si tuliambiwa kashonwa nyuzi 6? Na hutu kabwili ana kazi gani hapa wakati hatujamwona hata huko yanga hana namba?

    ReplyDelete
  2. Msuva na Samagol VP hatujawaona

    ReplyDelete
  3. Sema shida iko hapo kwenye full back za kulia

    ReplyDelete
  4. Shida yako nini kama uliambiwa ameshonwa nyuzi sita acha kuuliza maswali ambayo ayana msing

    ReplyDelete
  5. Safu ya ulinzi hasa Julia naona tuwaamin tu waliopo lakini Ni Kama imepwaya flani hivi.. Let's go Stars

    ReplyDelete
    Replies
    1. HIVI TIMU YA TAIFA HII INADHAMINIWA KWA UBORA UNAOTAKIWA AU ???

      Delete
  6. Kwamba wengine timu zao hazijawaruhusu, au ndo ile fulani anaujua sana ko acheze tu

    ReplyDelete
  7. Hivi hii timu bado IPO. ....????????

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic