VIDEO: FID Q NA BELLE 9 WAZINDUA STUDIO, FID Q AWAOMBEA SAPOTI
FID Q na Belle 9 wazindua studio, Fid Q ambaye ameletwa duniani Agosti 13 amesema kuwa sio wote wenye muziki mzuri wanajua namna ya kuutumbuiza na hadhira wakafurahia. Pia amewaomba wadau kutoa sapoti.
0 COMMENTS:
Post a Comment