VIDEO:MAMA MANJI WA YANGA ABAINISHA SABABU ZA UZI WA TIMU HIYO KUUZIKA
UWANJA wa Jamhuri,Dodoma Mama Manji anabainisha kuwa uzi wa Yanga unatoka jambo ambalo anamshukuru Mungu huku akitaja sababu kuwa ni usajili pamoja na wachezaji wazuri ambao wapo pamoja na kupata matokeo mazuri kwenye mechi zao.
Super Uzi!!
ReplyDelete