February 7, 2015





MPIRA UMEKWISHAAAAA...
Dk 90, Mtindi anawatoka mabeki wa Simba lakini mwenye anaanguka na Juuko anauwahi mpira na kuukoa.

Dk 89 Simba inamtoa Danny Sserunkuma na Ajibu Salum anaingia


Dk 86 Itubu anaingia kuimarisha safu ya ushambuliaji ya Coastal Union

Dk 85, Maguri anapiga shuti hata hivyo ni nyanya na linatoka nje
Dk 75&81 zaidi mpira unaendelea kuchezwa katikati ya uwanja. Hakuna hata shuti moja wala shambulizi kubwa zaidi ya makipa kudaka mipira ya kurudishiwa au iliyowazidi nguvu washambuliaji wa timu pinzani.

Dk 79, Simba wanamtoa Simon Sserunkuma na kumuingiza Rama Singano 'Messi'.

Dk 71&73 zaidi mpira unachezwa katikati ya uwanja huku Coastal Union wakiitawala zaidi sehemu ya katikati ya uwanja kwa viungo wake kuonana vizuri.

Dk 62 Coastal wanamuingiza Mohammed Mtindi badala ya Obinna aliyeumia

Dk 55, pasi nzuri ya Obinna lakini Murshid anajitokeza na kuokoa vizuri.


Dk 50, Danny Sserunkuma anapata nafasi nzuri lakini anashindwa kuitumia na kupaisha mpira juu.


Dk 47, shambulizi kali la kwanza na Hussein Sued anawageuza mabeki wa Simba ndani ya eneo la 12 na kupiga shuti kali linalodakwa na kipa Ivo Mapunda.




KIPINDI CHA KWANZA KIMEISHA KWA TIMU HIZO KWENDA SARE YA BILA KUFUNGANA NA ILIONEKANA KILA UPANDE UMEPANIA.


0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic