February 7, 2015



Arsenal imepata kipigo kingine katika Ligi Kuu England katika mechi dhidi ya wapinzani wao katika jiji la London, Tottenham Hotspurs.



Arsenal imelala kwa mabao 2-1 dhidi ya wenyeji wake hao, licha ya kuonekana kuwa kama wangeshinda mechi hiyo.

Wakati bao pekee la Arsenal kufungwa na Mesut Ozil, aliyewanyima usingizi mashabiki wa Arsenal leo ni Harry Kane ambaye alifunga mabao yote mawili.











0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic