May 16, 2015

Sadio Mane raia wa Senegal barani Afrika amefunga mabao matatu na kuweka rekodi mpya ya hat trick katika Premier League.

Mane amefunga mabao matatu ndani ya dakika tatu wakati Southampton ikiivaa Aston Villa iliyokuwa ugenini.

Rekodi ya Hat trick ilikuwa inashikiliwa na mshambuliaji wa zamani wa Liverpool, Robbie Fowler  aliyefunga mabao matatu ndani ya dakika tano.


Rekodi hiyo ya Fowler imeendelea kudumu kwa kipindi cha zaidi ya miaka nane.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic