DEAL DONE, PAUL POGBA PETE NA CHANDA NA MAN UNITED, ADA YA PAUNI MILIONI 100, MSHAHARA WA PAUNI 290,000 KWA WIKI Amesaini mkataba ambao Manchester United wamelazimika kumwaga pauni million 100 za usajili kwa Juventus ya Italia. Pogba aliyekabidhiwa jezi namba 6, atakuwa akilipwa mshahara mkubwa wa pauni 290,000 kwa wiki, si mchezo.
0 COMMENTS:
Post a Comment