August 9, 2016


Mo Bejaia wamefanya mazoezi kwenye Uwanja wa Boko Veterani ambao hutumiwa na Yanga na watani wao Simba.

Bejaia wamefanya mazoezi hayo leo baada ya kutua nchini usiku jana kwa siri bila kutoa taarifa kwa Yanga wale Shirikisho la Soka Tanzania (TFF).

Mo Bejaia inatarajia kuivaa Yanga katika mechi kama itashinda Jumamosi, itakuwa imejihakikishia kucheza hatua ya nusu fainali kwa asilimia 90.





0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic