February 24, 2013


KIPINDI CHA KWANZA:
Timu zinacheza kwa kushambuliana kwa zamu, Mtibwa Sugar wanaonekana kuumiliki mpira zaidi huku viungo wao, Gumbo, Kisiga na Nditi waking'ara zaidi.
Javu na Barnabas wanaisumbua beki ya Simba ambayo katikati hasa kwa Nyosso na Keita haijatulia.
 GOOOOO
dk ya 17 Salvatory Ntebe baada ya mabeki Simba kujichanganya
KISIGA AKIJARIBU KUWATOKA CHOMBO NA MAFTAH...
Dk ya 40, Chombo amekasirika na kuingia vyumbani baada ya kubadilishwa na nafasi yake kuchukuliwa na Kiggi Makasi.
sasa ni HALF TIME, Simba 0 Mtibwa 1.
KASEJA ANAOKOA SHUTI KALI...
KIPINDI CHA PILI
mtibwa wamemtoa Jamal Mnyate ameingia Ally Mohammed
Kiemba anaingia kuchukua nafasi ya Haruna Moshi Boban...
Dk 61, Sunzu anashindwa kuunganisha krosi safi ya Maftah
Dk 65 Said Mkopi anaokoa mpira uliokuwa unakwenda kwa Ngassa na ungeweza kuipatia Simba bao
Simba wanaonekana kubadilika kidogo hata hivyo mashambulizi mengi yanaonekana hayana madhara kwa Mtibwa Sugar ambayo mabeki wake wanaonekana kujipanga vizuri
Mtibwa Sugar wametawala mchezo, wanafanya wanavyotaka..pasi za uhakika lakini hawatumii nafasi wanazozipata
sub Mtibwa..anaingia Juma Luizio kuchukua nafasi ya Javu
Dk 85 RED CARD kwa Nyosso baada ya kumrukia Barnabas
Dk 87, Kiggi anakosa bao la wazi yeye na kipa
DAKIKA 3 ZA NYONGEZA

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic