March 2, 2013





SECOND HALF
Ronaldo ameinuka na kuanza kutrot, huku mashabiki katika uwanja wa Santiago Bernabeu wakishangilia kwa nguvu.
SUB:
DK 56 anaingia Ronaldo anatoka Benzema
             anaingia Khadeira anatoka Kaka
Dk 64 Valdes anaokoaa shuti kali la mpira wa faulo wa Ronaldo
Dk 70..FAULO Madrid 13..Barcelona 12
Dk 71 Madrid wanafanya sub ya mwisho, anatoka Coentrao anaingia Arbeloa
Dk 81 GOOOOOO....Sergio Ramos anapiga bao kwa kichwa baada ya kona iliyopigwa na Modric
Dk 87 Shuti la faulo la Ronaldo linagonga mwamba na kurudi uwanjani
FULL TIME
Kipa Valdes analambwa kadi nyekundu baada ya mechi kwisha, alimfuata mwamuzi na kuzozana naye
££££££££
HALF TIME
Hadi mapumziko matokeo ni 1-1
Real Madrid wamepata bao lao kupitia Benzema na Barcelona, Messi.
Jose Mourinho amepanga kikosi cha makinda wengi na nyota wake C. Ronaldo amemtupa benchi.


0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic