KIPINDI CHA PILI:
Dk 5 za nyongeza lakini hakuna lolote kwa Man United na baada ya mechi kwisha wachezaji wake wanamlaumu mwamuzi. Ferguson pia anaonekana kukasirishwa na mwamuzi.
Dk 90 zimekamilika
Dk 80 anatoka Welbeck na nafasi yake imechukuliwa na Ashley Young, inaonekana Modric ndiye anawachanganya zaidi Man United katikati ya uwanja
Dk 74 Wayne Rooney anaingia kuchukua
nafasi ya Tom Cleverley. Man United angalau wanaanza kucheza ingawa inaonekana
Madrid ndiyo waliotawala zaidi.
GOOOOO
Dk 69 anapiga bonge la shuti, Man United 1 Real Madrid 1
GOOOOO
dk 70 Ronaldo anafunga bao la pili kwa Madrid baada ya kuuwahi mpira we krosi wa
Higuain.
DK
48 Sergio Ramos anajifunga na Man United wanapata bao la kwanza. Krosi iliyopigwa
na Nani na kumgonga Wilbeck, mpira ukaenda moja kwa moja mguuni mwa Ramos
ambaye alishindwa kuuzuia na kuujaza wavuni.
HALF TIME:
Man
United 0 vs Real Madrid 0
Hadi
sasa milango ni migumu na timu zinapambana kwa zamu. Inaonekana Man United
wanacheza kwa tahadhari zaidi wakihofia mashambulizi ya kushitukiza ya Real
Madrid.
0 COMMENTS:
Post a Comment