Ligi Kuu Bara kuwania ubingwa wa
Tanzania Bara inaendelea kesho (Aprili 24 mwaka huu) kwa mechi moja kati ya
wenyeji African Lyon na JKT Ruvu.
Mechi hiyo namba 165 itachezwa
Uwanja wa Azam Chamazi, Dar es Salaam chini ya usimamizi wa Kamishna Hamisi
Kisiwa wa Dar es Salaam. Waamuzi wa mechi hiyo itakayoanza saa 10 kamili jioni
ni Hashim Abdallah, Omari Kambangwa, Abdallah Selega na Said Ndege wote wa Dar
es Salaam.







0 COMMENTS:
Post a Comment