April 20, 2013



 
Ibracadabra na Cruz Beckham..
Kiungo wa PSG, David Beckham leo aliwaalika wanaye katika mazoezi ya timu hiyo mjini Paris.

Watoto hao watatu wa Beckham ambao ni Brooklyn, Romeo na Cruz walikuwa sehemu ya mazoezi ya timu hiyo.
 
Beckham na Romeo..
Nyota wa timu hiyo, mshambuliaji Zlatan Ibrahimovic na beki mahiri wa kati, hiago Silva walikuwa wakicheza na Brooklyn, Romeo na Cruz.
 
Brooklyn na Thiago..
Imeelezwa hiyo ni sehemu ya mbinu ya Beckham kuwatangaza watoto wake katika kutafuta soko la kimataifa.

Tayari alishapata dili na Brooklyn alikuwa sehemu ya mipango ya Chelsea ya London katika timu yake ya vijana.


0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic