Alex Fergusone
alitua Manchester United mwaka 1986 akitokea Aberdeen ya kwao Scotland.
Tokea wakati
huo ameibebesha Man United makombe 13 ya Ligi Kuu England na mchezaji mmoja tu,
Ryan Giggs ndiye alikuwa na kocha huyo katika mataji yote 13.
Taji la 13
kwa Ferguson ni la 20 kwa klabu hiyo ambayo imezidi kujikita kileleni kwa
makombe wengi na kuwaacha wapinzani wao na wababe wa zamani, Liverpool.
Pamoja na
Giggs na Ferguson kuwa wenye makombe mengi zaidi, kuna wachezaji wengine pia
walibeba makombe hayo wakiwa chini Ferguson.
Angalia chati
hapo juu.








0 COMMENTS:
Post a Comment