April 15, 2013




Huku majeruhi yakiendelea kumbana, beki nyota na nahodha wa Barcelona, Carles Puyol hatimaye amefikisha miaka 35.

 

Baada ya kutimiza umri huo, Puyol aliamua kufanya sherehe ndogo sana kusherekea pamoja na rafiki zake wa karibu kama Víctor Valdés na Andrés Iniesta.

Puyol amekuwa nje ya kikosi cha Barcelona na anaendelea kupambana na maumivu ya goti.

Nahodha huyo wa Barcelona ni kati ya mabeki visiki duniani, lakini umri umeonekana kumtupa mkono kadiri siku zinavyosonga mbele.

 

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic