Picha ya Kocha Mkuu wa Man United, Alex Ferguson nywele zake zikiwa zimepulizwa na upepo imezua gumzo kubwa.
Gumzo hilo limetokana na moja ya mtandao kuitumia picha hiyo na kudai kocha huyo ameamua kumfuata Mario Balotelli kwa kunyoa kiduku.
Baadhi ya watu waliamini na kuanza kuchangia lakini baadaye ikagundulika kuwa babu alipigwa na upepo na nywele zitabadilika na kuwa kama vile amenyoa kiduku.
Angalia picha hiyo iliyozua tafrani.







0 COMMENTS:
Post a Comment