April 1, 2013

· ·
  • Iddy Kalolo likes this.
  • Othman Kazi Tukio hilo tunaita nn kama c Utahira jamani, kumpiga coach, refari au mchezaji mwenzako ni falsafa gani hiyo. Crazyness
  • Martin Itambu inaudhi sana,hivi huyo mchezaji ikitokea julio akawa kocha wake,itakuwaje?
  • Martin Itambu huu ni utovu wa nidhamu,julio mtu mzima huwezi kumpiga mtu mzima ngumi kirahic hivyoo!!!!!
  • Vicky Kimaro kwenye hili tukio nilikuwepo jamani msianze tu kulaumu mchezaji kabla ya kujua chanzo, julio mwenyewe aliyataka, alidai mchezaji kachukua mpira, viongozi wa toto wakawa wanautafuta hakukuwa na mpira, julio akavua saa na vitu vyake vingine anataka kupigana akaenda kuchomoa funguo kwenye gari ya toto ambalo lilikuwa linajiandaa kuondoka uwanjani ndo wachezaji wakashuka na kumvamia lakin mwisho wa siku Julio amejidhalilisha mpira kitu gani? kwa hadhi aliyokuwa nayo mpaka kujaza watu kisa mpira? kocha msaidizi wa timu ya taifa ya vijana unagombea mpira? mpira shilingi ngapi mpaka akajidhalilisha utu wake kiasi hicho,ngumi aliyopa alistaili coz watu wakiwemo wachezaji wenyewe watoto walimsihi aache vurugu tena walikuwa wanamuita magumashi acha bwana, potezea, maskari na makomandoo wa simba lakini yeye akajifanya ana nguvu za kupigana ndo akawaiwa konde kabla ajarusha la kwake
  • Elius Kambili Tehe teheee bora Vicky umenena tulitaka kujua ukweli. Ni muhimu kudhibiti hasira zetu katika kadamnasi
  • Tunibaby Juma afadhali vicky maana
  • Vicky Kimaro ifike mahali viongozi wajitambue, sasa kama yeye anatukana adharani anategemea kupata heshima gani kwa wadogo, kitu chenyewe kilkuwa ni kidogo ambacho wengeweza kukaa na kuzungumza badala ya kutukanana na kufikia kurushiana makonde lo!
  • Emmanuel Muga @ Vicky Kimaro: Katika rusharusha ya hizo ngumi Julio na huyo mchezaji nani kapigwa zaidi? Hakuna aliyedondoka chini?
  • Vicky Kimaro kilichomkasirisha julio baada ya kuchomoa funguo za gari ndo mchezaji akamuwahi ngumi, wakati akitaka kurudisha akadakwa na maskari

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic