April 2, 2013



 
Pamoja na kuwa mpenzi mkubwa wa mpira wa kikapu, Rais wa Marekani, Barack Obama alitoa kali ya pasaka baada ya kushindwa hata robo ya mipira 22 aliyorusha.

Katika hafla fupi ya Pasaka iliyofanyika katika Ikulu ya Marekani na kuhudhuriwa na watoto kadhaa, Obama alirusha mipira 22 lakini kati ya hiyo ni miwili tu ndiyo iliyoingia.

Juhudi za Obama kujaribu huku na kule ili kuweza kufunga zilishindikana na mwisho aliishia kufunga vikapu viwili tu. Duh!

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic