Picha mbalimbali
zilizopigwa na Richard Bukos wa gazeti la Michezo la Championi linalotoka mara
tatu kwa wiki (Jumatatu, Jumatano na Ijumaa) zikionyesha namna Francis Cheka
alivyokuwa akitoa kipigo kwa Thomas Mashali kuwania ubingwa wa IBF Africa jana
kwenye Ukumbi wa PTA Sabasaba jijini Dar es Salaam.
0 COMMENTS:
Post a Comment