May 7, 2013



 
Baada ya kutolewa na Orlando Pirates, klabu ya TP Mazembe anayoichezea Mtanzania, Mbwana Samatta na mwenzake Thomas Ulimwengu sasa itacheza na Liga Maculmana ya Msumbiji katika Kombe la Shirikisho.

Droo ya Caf, imeipeleka Mazembe nchini Msumbiji wakati wababe wa Azam FC, FAR Rabat wao wamepangiwa ndugu zao FUS Rabat, mechi ambayo itakuwa na upinzani mkubwa.

RATIBA KAMILI YA 16 BORA KOMBE LA SHIRIKISHO:

Stade Malien (Mali)   vs   Lydia (Burundi)
Enugu Rangers ( Nigeria)  vs  C.S.S (Tunisia)
FUS Rabat ( Morocco)  vs ASFAR (Morocco)
CAB (Tunisia)  vs Ismailia (Misri)
E.S Setif  ( Algeria)  vs US Bitam (Gabon)
JSM Bejaia ( Algeria)  vs  E.S.S  (Tunisia)
TP Mazembe (DRC)  vs Liga Maculmana (Msumbiji)
St George (Ethiopia) vs ENPPI (Misri)

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic