Kocha
Jose Mourinho ameonekana akifakamia donati wakati akiwa kwenye uwanja wa ndege wa
kimataifa wa Heathrow jijini London.
Haikujulikana
mara moja kama Mourinho alikuwa na njaa sana au namna gani lakini ulaji wake
uliwashangaza wengi naye hakuonekana kujali.
Mourinho
alikuwa njiani kurejea Lisbon, Ureno ikiwa ni siku chache baada ya
kutambulishwa katika klabu yake mpya ya Chelsea.

Tayari
Mourinho ameelezwa kuanza kulishughulikia suala la taarifa za Fernando Torres
kuataka kuhamia Barcelona.
Inaelezwa
Torres amekuwa akionekana hana furaha kutokana na kutokuwa na msimu mzuri,
lakini Mourinho anamhitaji na anaamini atafanya vizuri akiwa chini yake.
0 COMMENTS:
Post a Comment