ABDALLAH MSAMBA AFARIKI DUNIA Msamba, wa tano kulia, wakati wa uhai wake akiwa na Sigara iliyokuwa kiboko cha vigogo Mshambuliaji wa zamani wa Simba na Sigara, Abdallah Msamba amefariki dunia. Msamba amefariki dunia baada ya kuugua muda mrefu jijini Dar es Salaam na taarifa zinaeleza mipango ya mazishi imeanza. TAARIFA KAMILI TUTAWALETEA
Salehe ndugu yangu naomba hii pic, tafadhali nitumie kwa mwasa78@gmail.com , tafadhali
ReplyDelete