June 1, 2013



  CBF imeamua kumruhusu Neyma kutoka Santos baada ya kuivaa England kesho katika mechi ya kirafiki kwenye Uwanja wa Maraccana, Rio De Janeiro.

Neyma atatambulishwa hiyo Jumatatu mbele ya mashabiki kibao ambao watataka kumuona kwa mara ya kwanza wakati wanatua.

Mshambuliaji huyo ndiyo usajili gumzo zaidi duniani katika msimu huu na atakuwa akicheza timu moja na Muargentina, Lionel Messi.


Shirikisho la Soka la Brazil (CBF) limempa ruhusa mshambuliaji Neymar kwenda jijini Barcelona na kujitambulisha.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic