Nyasi za Uwanja wa Old Trafford
unaotumiwa na timu ya Manchester United zipo kwenye mabadiliko, ambapo hii ni
mara ya kwanza baada ya kupita miaka 10.
Inaelezwa kuwa mchakato wa
ubadilishaji nyasi utakuwa na jumla ya gharama za pauni 800,000.
Kocha wa timu hiyo aliyestaafu, Alex
Ferguson aliwahi kulalamika mara kadhaa juu ya ubovu wa nyasi hizo zilizotolewa
Mara ya mwisho kwa uwanja huo
kubadilishiwa nyasi ilikuwa kabla ya msimu wa 2003-2004.
0 COMMENTS:
Post a Comment