Beki wa kati
wa Manchester United, Rio Ferdinand ametupia picha kwenye mtandao wa kijamii
akiwa na rafiki zake huku akiwa kifua wazi ambapo katika picha hiyo
amezungushia sehemu ya kati ya tumbo lake ambalo linaonekana kugawanyika
kutokana na mazoezi
0 COMMENTS:
Post a Comment