Tuliungana na wanakijiji wa hapa Hausen kuishangilia timu yetu ya kijiji
iliyo daraja la sita.
Timu hiyo ya Hausen ilitakiwa kushinda mechi mbili ili ipande hadi daraja
la tano.
Mechi ya kwanza ugenini tuliungana na wanakijiji tukasafiri kama Km 150,
huko tukachapwa 4-2.
Marudiano hapa nyumbani, tukaungana nao, tukashinda 1-0 lakini ndiyo, timu
imebaki daraja la sita.
“Hausen, Hausen, Hausen”
Nikiwa na majembe yangu |
0 COMMENTS:
Post a Comment