June 5, 2013




-Kwa sasa mwili wa marehemu upo katika Viwanja vya Leaders na umefika mahali hapo saa mbili kamili asubuhi
-Zoezi la kuaga mwili wa marehemu bado halijaanza ila litaanza muda wowote
-Watu wanazidi kumiminika katika Viwanja vya Leaders
-Waziri wa Habari,Vijana,Utamaduni na Michezo, Dk.Fenella Mukangara naye anatarajiwa kuwa miongoni mwa watu watakaofika eneo hilo kuaga mwili wa Mangweha
-Baada ya shughuli za kuaga, mwili wa marehemu utapelekwa mkoani Morogoro kwa ajili ya mazishi yatakayofanyika nyumbani kwao Kihonda hapo kesho

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic