Beki wa
Taifa Stars, Erasto Nyoni amepata majeruhi ya paja.
Ofisa Habari
wa TFF, Boniface Wambura amesema kuwa Nyoni anasumbuliwa na maumivu hayo laini
kuna uwezekano wa kuwemo kwenye kikosi kitakachocheza Jumamosi kwenye mechi
dhidi ya Morroco.
Kikosi cha
Taifa Stars tayari kipo Marrakech, Morocco kwa ajili ya mechi hiyo ya mchujo ya
Kombe la Dunia saa 3 kamili usiku kwa saa za Morocco ambapo ni sawa na saa 5
usiku nchini Tanzania.
0 COMMENTS:
Post a Comment