June 6, 2013

 Waziri Mkuu wa zamani wa Italia, Silvio Berlusconi ambaye ni mmiliki wa Ac Milan ametaka kiungo wake wa zamani Kaka arejee.

Kaka alikuwa tegemeo katika klabu hiyo kabla ya uamuzi wa kuamua kujiunga na Real Madrid ambako mambo hayakumuendea vizuri.

Hata hivyo, tokea msimu uliopita Madrid ilishatangaza kwamba haina mpango wa kujmuachia Kaka hata kwenda kwa mkopo tu, kitu ambacho huenda kikafanza mambo yawe magumu.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic