July 14, 2013





Agalau kocha wa Man United, David Moyes atajisikia raha sasa baada ya wapinzani wao nao kulamba kipigo cha mabao 2-0 kutoka kwa Super Sport ya Afrika Kusini ikiwa ni saa 24 tu baada ya wao kuchapwa bao 1-0 na Singha All-Stars mjini Bangkok, Thailand.

Ikiwa chini ya kocha mpya, Manuel Pellegrini, Man City imekutana na kipigo hicho ikiwa katika ziara yake ya kujiandaa na Ligi Kuu England na ikiwa Afrika Kusini itacheza mechi mbili.



City iliyowakosa wachezaji kadhaa kama David Silva, Sergio Aguero, Pablo Zabaleta na kiungo mpya, Jesus Navas imekumbana na kipigo hicho ambacho hawakukitegemea kama ilivyokuwa kwa wapinzani wao Man United.
 MECHI ILIVYOKUWA:



Supersport United: Williams (Fernandez, 32 (Pule, 62)) Moloi (Moeketsi, 43), Fransman, Diouf (Pietersen, 80), Mdledle, Gyimah, Doutie (Maluleke, 62), Maluleka, Nyondo (Niang, 32
(Mulenga, 62)), Mathebula (Erasmus, 62), Chenene (Grobler, 62)

Subs not used: Mphahlele, Gabonamong, Nel
Goals: Niang 56, Erasmus 82
Manchester City: Hart, (Pantilimon, 45), Richards (Facey, 45), Kompany (Boyata, 45), Garcia (Nastasic, 45), Kolarov (Lescott, 45), Barry (Rodwell, 45), Fernandinho (Huws, 45), Razak (Sinclair, 45), Suarez (Y Toure, 45 (Cole, 83)), Nasri (Milne, 45), Dzeko (Nimely, 45).
Booked: Barry
waliohudhuria: 12,000
 

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic