August 13, 2013



 
Imekuwa ni sawa na Barcelona kuamua kuweka mayai katika sehemu yenye watoto wengi kwani inataka kumkasirisha Luiz.

Kupitia mtandao wake Barcelona imesema Luiz alikuwa hapewi kipaumbale wakati uwezo ni mkubwa ndani ya Chelsea.
Taarifa hiyo imeeleza Luiz ana nafasi zaidi Barcelona kwa kuwa huenda kwa mfumo wa Kocha Jose Mourinho anaweza kuendelea kumtumia Garry Cahill.


Inaonyesha Barcelona inafanya propaganda za kumshawishi Luiz kujiunga nayo.
Lakini huenda kukazuka mzozo ambao Barcelona wanaweza kuwa wanautaka ili kufanikisha kumvuta Luiz ili akacheze namba nne na tano na Gerard Pique.

Awali Barcelona iliweka nguvu nyingi kumnasa Thiago Silva lakini PSG ikasisitiza hauzwi kwa fedha yeyote.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic