Wakongwe
Liverpool wamekubali kipigo cha bao 1-0 kutoka kwa Celtic ya Uholanzi.
Katika mechi
ya kurafiki iliyochezwa kwenye Uwanja wa Aviva mjini Dublin, Liverpool ikicheza
bila yam kali Luiz Suarez ilionekana kujitutumua lakini mwisho ikalala.
Hata hivyo
hiyo imezua mjadala kama kweli Liverpool inaweza kuvumilia mikiki ya
Premiership bila ya Mruguay huyo ambaye alilazimisha kwenda Real Madrid, timu
na Kocha Brendan Rogers amesema aombe radhi mashabiki na wachezaji wenzake
kabla ya kupewa nafasi ya kuendelea kuitumikia.
Liverpool: Mignolet,
Johnson, Toure, Wisdom, Enrique, Lucas, Gerrard, Allen (Henderson 58), Downing
(Ibe 72), Aspas (Sturridge 46), Coutinho.
Subs not used: Jones, Alberto, Assaidi, Coates, Borini, Sterling, Kelly,
Flanagan.
Celtic: Zaluska (Forster 46);
Matthews, Lustig, Mouyokolo, Izaguirre (Findlay 64); McGeouch, Kayal (George
84), Irvine, Stokes; Balde (Atajic 70), Watt (Henderson 84).
Subs not used: Fisher, Herron.
MABAO: Balde 12.
kadi: Stokes.














0 COMMENTS:
Post a Comment