WACHEZAJI
Musa Hassan Mgosi na kipa Juma Kaseja, leo asubuhi wameungana na wachezaji wa
Mtibwa Sugar kufanya mazoezi kwenye Uwanja wa Chuo cha Ustawi wa Jamii uliopo
Kijitonyama jijini Dar es Salaam.
Mgosi na Kaseja
walikuwa pamoja katika kikosi cha Wekundu wa Msimbazi ‘Simba SC’. Mgosi kwa
sasa ni mchezaji wa Mtibwa Sugar wakati Kaseja bado hatma yake haijafahamika
baada ya kuachana na Simba msimu uliopita.
.jpg)
.jpg)







0 COMMENTS:
Post a Comment