Mkurugenzi wa Masoko wa TBL, Kushilla Thomass akimkabidhi Rais
Jakaya Kikwete jezi namba 10 ya Barcelona ambayo huvaliwa na mchezaji bora wa
dunia, Lionel Messi wa Argentina.
Jezi hiyo imesainiwa na wachezaji wote wa kikosi cha kwanza cha
Barcelona. Anayeangalia ni Meneja Mauzo wa kanda ya Kusini, James Bokela,
mwingine ni Meneja Masoko wa TBL, Natalia Celani (wa pili kulia).
Wengine ni Menaja wa brandi ya Castle, Kabula Nshimo (kushoto) na
aliye mbele yake ni Mkurugenzi wa kampuni ya Executive Solution ambayo
husimamia masuala ya habari ya TBL.









0 COMMENTS:
Post a Comment