Nyota mpya wa
Barcelona, Neymar ameonyesha atakuwa msaada mkubwa wa timu hyio hata kama Messi
atakosekana.
Katika mechi ya
kirafiki dhidi ya Malaysia XI,Neymar ameonyesha uwezo mkubwa ikiwa ni pamoja na
kufunga bao safi.
Barcelona
iliyomkosa Messi kutokana na kuwa majeruhi imeshinda kwa mabao 3-1.
Cesc Fabregas
alikuwa wa kwanza kufunga akisawazisha bao lililofungwa na Amri wa Malaysia XI
waliokuwa wanashangiliwa kwa nguvu na mashabiki wao wa nyumbani.








0 COMMENTS:
Post a Comment