Cristiano Ronald
na Ricardo Kaka kila mmoja aling’ara na kufunga bao moja wakati Real Madrid
ilipoitwanga Inter Milan kwa mabao 3-0 katika mechi ya kirafiki.
Bao moja
lilikuwa ni la kujifunga lakini mchezaji mpya wa Madrid , Casimero alicheza
vizuri zaidi.
Kikosi hicho
chini ya Carlo Ancelotti kilionyesha soka la kuvutia lakini Inter walitoa
upinzani mkali zaidi.









0 COMMENTS:
Post a Comment