STAA wa Real Madrid, Cristiano
Ronaldo ametupia picha kwenye mtandao wa kijamii akiwa na mastaa wa Marekani,
Shaquille O'Neal ambaye ni nyota wa zamani wa Ligi ya NBA pamoja na mwanamuziki
Jennifer Lopez.
Ronaldo alikutana na mastaa hao mara
baada ya mechi ya kirafiki dhidi ya Everton kwenye Uwanja wa Dodger pande za Los
Angeles, Marekani ambapo ndipo kambi ya timu yake ilipo ikijiandaa na msimu
mpya wa 2013/2014.









0 COMMENTS:
Post a Comment