TAJI LA MISS TANZANIA 2013 LATUA DODOMA.. Mrembo Happyness Watimanywa kutoka Dodoma usiku huu amewabwaga wenzake 29 na kuwaa taji la Miss TZ. Mshindi wa pili ni Latifa Mohamed kutoka Kigamboni na wa tatu ni Clara Bayo aliyetokea Dar City Centre.
0 COMMENTS:
Post a Comment